Kuzuia malaria
Malaria inazuilika na inatibika ikigunduliwa mapema.
Mambo muhimu
- Lala chini ya chandarua chenye dawa.
- Ondoa maji yaliyotuama karibu na nyumba.
- Homa katika maeneo ya malaria inahitaji kupimwa haraka.
- Fuata matibabu yaliyoagizwa na mhudumu wa afya.